Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,892
Shule za kata zimeleta maafa ivi unaelewa tofauti kati ya chama, Dola na serikali. Kwa akili yako ya huko ukisikia serikali unawaza nini? Kwa akili yako unadhani ni chama?
Yani hili ni bandiko LA kipumbavu mpaka mkeo akilisoma atachepuka Kwa kua ataamini uwezo wako WA kujenga hoja ni wakishoga !!! IdiotNimeona nilitolee ufafanuzi suala matumizi ya vyombo vya dola. Kuna dhana potofu imezagaa haswa kwa wanaharakati uchwara wa haki za binadamu na vyama vya upinzani.
Ukisikiliza hoja na kauli zao wanaonyesha kujikita kwenye upotofu kuwa chama tawala kutumia vyombo vya dola ni sifa mbaya. Kwao sifa nzuri ni kutotumia vyombo vya dola kujiimarisha kichama.
Hii ni dhana potofu mno! Sifa kuu ya chama chochote cha siasa nchi yoyote ile duniani ni kutwaa madaraka ili kiwe na uwezo wa kusimamia na kutumia vyombo na taasisi za dola ili kujisimika na kujiimarisha ikiwezekana milele. Ndivyo ilivyo US, UK, France, Germany, Australia, Japan na kote duniani. Ndio ndio haswa msingi na madhumuni ya uchaguzi mkuu. Chama kinachoenda kwenye uchaguzi mkuu bila kutambua hili kinakuwa hakiko serious. Hakijui kitakacho!
Ni kichekesho chama kilichoshindwa uchaguzi kuhoji kwa nini chama kilichoshinda kinatumia vyombo vya dola! Hivi kitumie nini? Si kimepata ridhaa ya kutumia vyombo na taasisi za dola! Chama ambacho kimepewa ridhaa hii halafu kikaacha kutumia vyombo na taasisi za dola kujiimarisha na kujisimika na kuwasambaratisha mahasimu wao kitakuwa chama cha kijinga mno. Hebu fikiri jinsi chadema inavyofurukuta kuharibu juhudi zote za serikali ya ccm! Ccm isijibu mapigo? Haiwezekani hata kidogo.
Ikiwa chadema au CUF au yeyote mwingine anataka CCM isitumie vyombo na taasisi za dola wanapaswa kufanya kitu kimoja tu: kupigana kiume washinde uchaguzi mkuu. Hakuna namna nyingine! Hata wao wakishinda watatumia vyombo na taasisi za dola kujisimika! Tusidanganyane!
Hamna sababu ya CCM na wanachama wake kuona aibu kuhusu kutumia vyombo na taasisi za dola! Sio aibu bali ni sifa! Chama makini hufanikiwa kushika dola! Chama dhaifu huambulia kushika serikali kivuli! Serikali isiyo na chombo wala taasisi yoyote ya dola!
Sasa hivi kwa mfano Republicans ndio wenye dhamana nchini marekani. Wanatumia chombo kimojawapo cha dola kufuta karibu kila lilioanzishwa na Democrats! Mfuko Wa bima ya afya, Green Card, Paris Agreement on climate change, mkataba na Iran, Wamevunjavunja! Democrats kwa kutambua wenzao ndio wenye dhamana wametulia tulii wananyolewa bila maji! Wanaofurukuta wanatishiwa kufutiwa kinga ya kibalozi au congress!
CCM isione haya kutumia vyombo vya dola! Mkiona haya siku wenzenu watapewa dhamana ya kuvimiliki mtaona!!! Kwa sasa ni wivu na maumivu ndio yanawafanya walalamike!
Wenzako hulipuliza jioni baada ya kula na kushiba, mchana si vizuri kulipuliza kwani jua ni kali na linaweza kusababisha uvurugikiwe akili, unaona sasa kilichokupata, usirudie tena, masikini Tumaini amepoteza tumaini.Nimeona nilitolee ufafanuzi suala matumizi ya vyombo vya dola. Kuna dhana potofu imezagaa haswa kwa wanaharakati uchwara wa haki za binadamu na vyama vya upinzani.
Ukisikiliza hoja na kauli zao wanaonyesha kujikita kwenye upotofu kuwa chama tawala kutumia vyombo vya dola ni sifa mbaya. Kwao sifa nzuri ni kutotumia vyombo vya dola kujiimarisha kichama.
Hii ni dhana potofu mno! Sifa kuu ya chama chochote cha siasa nchi yoyote ile duniani ni kutwaa madaraka ili kiwe na uwezo wa kusimamia na kutumia vyombo na taasisi za dola ili kujisimika na kujiimarisha ikiwezekana milele. Ndivyo ilivyo US, UK, France, Germany, Australia, Japan na kote duniani. Ndio ndio haswa msingi na madhumuni ya uchaguzi mkuu. Chama kinachoenda kwenye uchaguzi mkuu bila kutambua hili kinakuwa hakiko serious. Hakijui kitakacho!
Ni kichekesho chama kilichoshindwa uchaguzi kuhoji kwa nini chama kilichoshinda kinatumia vyombo vya dola! Hivi kitumie nini? Si kimepata ridhaa ya kutumia vyombo na taasisi za dola! Chama ambacho kimepewa ridhaa hii halafu kikaacha kutumia vyombo na taasisi za dola kujiimarisha na kujisimika na kuwasambaratisha mahasimu wao kitakuwa chama cha kijinga mno. Hebu fikiri jinsi chadema inavyofurukuta kuharibu juhudi zote za serikali ya ccm! Ccm isijibu mapigo? Haiwezekani hata kidogo.
Ikiwa chadema au CUF au yeyote mwingine anataka CCM isitumie vyombo na taasisi za dola wanapaswa kufanya kitu kimoja tu: kupigana kiume washinde uchaguzi mkuu. Hakuna namna nyingine! Hata wao wakishinda watatumia vyombo na taasisi za dola kujisimika! Tusidanganyane!
Hamna sababu ya CCM na wanachama wake kuona aibu kuhusu kutumia vyombo na taasisi za dola! Sio aibu bali ni sifa! Chama makini hufanikiwa kushika dola! Chama dhaifu huambulia kushika serikali kivuli! Serikali isiyo na chombo wala taasisi yoyote ya dola!
Sasa hivi kwa mfano Republicans ndio wenye dhamana nchini marekani. Wanatumia chombo kimojawapo cha dola kufuta karibu kila lilioanzishwa na Democrats! Mfuko Wa bima ya afya, Green Card, Paris Agreement on climate change, mkataba na Iran, Wamevunjavunja! Democrats kwa kutambua wenzao ndio wenye dhamana wametulia tulii wananyolewa bila maji! Wanaofurukuta wanatishiwa kufutiwa kinga ya kibalozi au congress!
CCM isione haya kutumia vyombo vya dola! Mkiona haya siku wenzenu watapewa dhamana ya kuvimiliki mtaona!!! Kwa sasa ni wivu na maumivu ndio yanawafanya walalamike!
Shule za kata zimeleta maafa ivi unaelewa tofauti kati ya chama, Dola na serikali. Kwa akili yako ya huko ukisikia serikali unawaza nini? Kwa akili yako unadhani ni chama?
RubbishNimeona nilitolee ufafanuzi suala matumizi ya vyombo vya dola. Kuna dhana potofu imezagaa haswa kwa wanaharakati uchwara wa haki za binadamu na vyama vya upinzani.
Ukisikiliza hoja na kauli zao wanaonyesha kujikita kwenye upotofu kuwa chama tawala kutumia vyombo vya dola ni sifa mbaya. Kwao sifa nzuri ni kutotumia vyombo vya dola kujiimarisha kichama.
Hii ni dhana potofu mno! Sifa kuu ya chama chochote cha siasa nchi yoyote ile duniani ni kutwaa madaraka ili kiwe na uwezo wa kusimamia na kutumia vyombo na taasisi za dola ili kujisimika na kujiimarisha ikiwezekana milele. Ndivyo ilivyo US, UK, France, Germany, Australia, Japan na kote duniani. Ndio ndio haswa msingi na madhumuni ya uchaguzi mkuu. Chama kinachoenda kwenye uchaguzi mkuu bila kutambua hili kinakuwa hakiko serious. Hakijui kitakacho!
Ni kichekesho chama kilichoshindwa uchaguzi kuhoji kwa nini chama kilichoshinda kinatumia vyombo vya dola! Hivi kitumie nini? Si kimepata ridhaa ya kutumia vyombo na taasisi za dola! Chama ambacho kimepewa ridhaa hii halafu kikaacha kutumia vyombo na taasisi za dola kujiimarisha na kujisimika na kuwasambaratisha mahasimu wao kitakuwa chama cha kijinga mno. Hebu fikiri jinsi chadema inavyofurukuta kuharibu juhudi zote za serikali ya ccm! Ccm isijibu mapigo? Haiwezekani hata kidogo.
Ikiwa chadema au CUF au yeyote mwingine anataka CCM isitumie vyombo na taasisi za dola wanapaswa kufanya kitu kimoja tu: kupigana kiume washinde uchaguzi mkuu. Hakuna namna nyingine! Hata wao wakishinda watatumia vyombo na taasisi za dola kujisimika! Tusidanganyane!
Hamna sababu ya CCM na wanachama wake kuona aibu kuhusu kutumia vyombo na taasisi za dola! Sio aibu bali ni sifa! Chama makini hufanikiwa kushika dola! Chama dhaifu huambulia kushika serikali kivuli! Serikali isiyo na chombo wala taasisi yoyote ya dola!
Sasa hivi kwa mfano Republicans ndio wenye dhamana nchini marekani. Wanatumia chombo kimojawapo cha dola kufuta karibu kila lilioanzishwa na Democrats! Mfuko Wa bima ya afya, Green Card, Paris Agreement on climate change, mkataba na Iran, Wamevunjavunja! Democrats kwa kutambua wenzao ndio wenye dhamana wametulia tulii wananyolewa bila maji! Wanaofurukuta wanatishiwa kufutiwa kinga ya kibalozi au congress!
CCM isione haya kutumia vyombo vya dola! Mkiona haya siku wenzenu watapewa dhamana ya kuvimiliki mtaona!!! Kwa sasa ni wivu na maumivu ndio yanawafanya walalamike!
Nimeona nilitolee ufafanuzi suala matumizi ya vyombo vya dola. Kuna dhana potofu imezagaa haswa kwa wanaharakati uchwara wa haki za binadamu na vyama vya upinzani.

Mbona kama ulisoma chuo kimoja na Jessica???
Wenzako hulipuliza jioni baada ya kula na kushiba, mchana si vizuri kulipuliza kwani jua ni kali na linaweza kusababisha uvurugikiwe akili, unaona sasa kilichokupata, usirudie tena, masikini Tumaini amepoteza tumaini.
hovyo kabisa huyu.Nimeona nilitolee ufafanuzi suala matumizi ya vyombo vya dola. Kuna dhana potofu imezagaa haswa kwa wanaharakati uchwara wa haki za binadamu na vyama vya upinzani.
Ukisikiliza hoja na kauli zao wanaonyesha kujikita kwenye upotofu kuwa chama tawala kutumia vyombo vya dola ni sifa mbaya. Kwao sifa nzuri ni kutotumia vyombo vya dola kujiimarisha kichama.
Hii ni dhana potofu mno! Sifa kuu ya chama chochote cha siasa nchi yoyote ile duniani ni kutwaa madaraka ili kiwe na uwezo wa kusimamia na kutumia vyombo na taasisi za dola ili kujisimika na kujiimarisha ikiwezekana milele. Ndivyo ilivyo US, UK, France, Germany, Australia, Japan na kote duniani. Ndio ndio haswa msingi na madhumuni ya uchaguzi mkuu. Chama kinachoenda kwenye uchaguzi mkuu bila kutambua hili kinakuwa hakiko serious. Hakijui kitakacho!
Ni kichekesho chama kilichoshindwa uchaguzi kuhoji kwa nini chama kilichoshinda kinatumia vyombo vya dola! Hivi kitumie nini? Si kimepata ridhaa ya kutumia vyombo na taasisi za dola! Chama ambacho kimepewa ridhaa hii halafu kikaacha kutumia vyombo na taasisi za dola kujiimarisha na kujisimika na kuwasambaratisha mahasimu wao kitakuwa chama cha kijinga mno. Hebu fikiri jinsi chadema inavyofurukuta kuharibu juhudi zote za serikali ya ccm! Ccm isijibu mapigo? Haiwezekani hata kidogo.
Ikiwa chadema au CUF au yeyote mwingine anataka CCM isitumie vyombo na taasisi za dola wanapaswa kufanya kitu kimoja tu: kupigana kiume washinde uchaguzi mkuu. Hakuna namna nyingine! Hata wao wakishinda watatumia vyombo na taasisi za dola kujisimika! Tusidanganyane!
Hamna sababu ya CCM na wanachama wake kuona aibu kuhusu kutumia vyombo na taasisi za dola! Sio aibu bali ni sifa! Chama makini hufanikiwa kushika dola! Chama dhaifu huambulia kushika serikali kivuli! Serikali isiyo na chombo wala taasisi yoyote ya dola!
Sasa hivi kwa mfano Republicans ndio wenye dhamana nchini marekani. Wanatumia chombo kimojawapo cha dola kufuta karibu kila lilioanzishwa na Democrats! Mfuko Wa bima ya afya, Green Card, Paris Agreement on climate change, mkataba na Iran, Wamevunjavunja! Democrats kwa kutambua wenzao ndio wenye dhamana wametulia tulii wananyolewa bila maji! Wanaofurukuta wanatishiwa kufutiwa kinga ya kibalozi au congress!
CCM isione haya kutumia vyombo vya dola! Mkiona haya siku wenzenu watapewa dhamana ya kuvimiliki mtaona!!! Kwa sasa ni wivu na maumivu ndio yanawafanya walalamike!
Atakuwa ni mke wa Musiba wa Jamvi la habari kwani mleta mada upeo wake ni mdogo kama boss wao kubwa jinga Le Mutuz.