Hoja ya CCM kutumia vyombo vya Dola

Hoja ya CCM kutumia vyombo vya Dola

Mwananchi wa chini

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2013
Posts
227
Reaction score
599
Nimeona nilitolee ufafanuzi suala matumizi ya vyombo vya dola. Kuna dhana potofu imezagaa haswa kwa wanaharakati uchwara wa haki za binadamu na vyama vya upinzani.

Ukisikiliza hoja na kauli zao wanaonyesha kujikita kwenye upotofu kuwa chama tawala kutumia vyombo vya dola ni sifa mbaya. Kwao sifa nzuri ni kutotumia vyombo vya dola kujiimarisha kichama.

Hii ni dhana potofu mno! Sifa kuu ya chama chochote cha siasa nchi yoyote ile duniani ni kutwaa madaraka ili kiwe na uwezo wa kusimamia na kutumia vyombo na taasisi za dola ili kujisimika na kujiimarisha ikiwezekana milele. Ndivyo ilivyo US, UK, France, Germany, Australia, Japan na kote duniani. Ndio ndio haswa msingi na madhumuni ya uchaguzi mkuu. Chama kinachoenda kwenye uchaguzi mkuu bila kutambua hili kinakuwa hakiko serious. Hakijui kitakacho!

Ni kichekesho chama kilichoshindwa uchaguzi kuhoji kwa nini chama kilichoshinda kinatumia vyombo vya dola! Hivi kitumie nini? Si kimepata ridhaa ya kutumia vyombo na taasisi za dola! Chama ambacho kimepewa ridhaa hii halafu kikaacha kutumia vyombo na taasisi za dola kujiimarisha na kujisimika na kuwasambaratisha mahasimu wao kitakuwa chama cha kijinga mno. Hebu fikiri jinsi chadema inavyofurukuta kuharibu juhudi zote za serikali ya ccm! Ccm isijibu mapigo? Haiwezekani hata kidogo.

Ikiwa chadema au CUF au yeyote mwingine anataka CCM isitumie vyombo na taasisi za dola wanapaswa kufanya kitu kimoja tu: kupigana kiume washinde uchaguzi mkuu. Hakuna namna nyingine! Hata wao wakishinda watatumia vyombo na taasisi za dola kujisimika! Tusidanganyane!

Hamna sababu ya CCM na wanachama wake kuona aibu kuhusu kutumia vyombo na taasisi za dola! Sio aibu bali ni sifa! Chama makini hufanikiwa kushika dola! Chama dhaifu huambulia kushika serikali kivuli! Serikali isiyo na chombo wala taasisi yoyote ya dola!.

Sasa hivi kwa mfano Republicans ndio wenye dhamana nchini marekani. Wanatumia chombo kimojawapo cha dola kufuta karibu kila lilioanzishwa na Democrats! Mfuko Wa bima ya afya, Green Card, Paris Agreement on climate change, mkataba na Iran, Wamevunjavunja!

Democrats kwa kutambua wenzao ndio wenye dhamana wametulia tulii wananyolewa bila maji! Wanaofurukuta wanatishiwa kufutiwa kinga ya kibalozi au congress!

CCM isione haya kutumia vyombo vya dola! Mkiona haya siku wenzenu watapewa dhamana ya kuvimiliki mtaona!!! Kwa sasa ni wivu na maumivu ndio yanawafanya walalamike!
 
Utetezi wa kipuuzi ile mbaya. Kusimamia vyombo vya dola hakumaanishi uvutumie kufanyia hujuma washindani wako, vinginevyo wataingia msituni kuja kupambana na ww unayevitumia vibaya. Hata hao uliotaka kuwatetea wamekudharau kwa huu utumbo.
 
Moja ya hoja pumba ni hi, hujuwi unachokiongea pole sana.
 
Nimeona nilitolee ufafanuzi suala matumizi ya vyombo vya dola. Kuna dhana potofu imezagaa haswa kwa wanaharakati uchwara wa haki za binadamu na vyama vya upinzani.

Ukisikiliza hoja na kauli zao wanaonyesha kujikita kwenye upotofu kuwa chama tawala kutumia vyombo vya dola ni sifa mbaya. Kwao sifa nzuri ni kutotumia vyombo vya dola kujiimarisha kichama.

Hii ni dhana potofu mno! Sifa kuu ya chama chochote cha siasa nchi yoyote ile duniani ni kutwaa madaraka ili kiwe na uwezo wa kusimamia na kutumia vyombo na taasisi za dola ili kujisimika na kujiimarisha ikiwezekana milele. Ndivyo ilivyo US, UK, France, Germany, Australia, Japan na kote duniani. Ndio ndio haswa msingi na madhumuni ya uchaguzi mkuu. Chama kinachoenda kwenye uchaguzi mkuu bila kutambua hili kinakuwa hakiko serious. Hakijui kitakacho!

Ni kichekesho chama kilichoshindwa uchaguzi kuhoji kwa nini chama kilichoshinda kinatumia vyombo vya dola! Hivi kitumie nini? Si kimepata ridhaa ya kutumia vyombo na taasisi za dola! Chama ambacho kimepewa ridhaa hii halafu kikaacha kutumia vyombo na taasisi za dola kujiimarisha na kujisimika na kuwasambaratisha mahasimu wao kitakuwa chama cha kijinga mno. Hebu fikiri jinsi chadema inavyofurukuta kuharibu juhudi zote za serikali ya ccm! Ccm isijibu mapigo? Haiwezekani hata kidogo.

Ikiwa chadema au CUF au yeyote mwingine anataka CCM isitumie vyombo na taasisi za dola wanapaswa kufanya kitu kimoja tu: kupigana kiume washinde uchaguzi mkuu. Hakuna namna nyingine! Hata wao wakishinda watatumia vyombo na taasisi za dola kujisimika! Tusidanganyane!

Hamna sababu ya CCM na wanachama wake kuona aibu kuhusu kutumia vyombo na taasisi za dola! Sio aibu bali ni sifa! Chama makini hufanikiwa kushika dola! Chama dhaifu huambulia kushika serikali kivuli! Serikali isiyo na chombo wala taasisi yoyote ya dola!

Sasa hivi kwa mfano Republicans ndio wenye dhamana nchini marekani. Wanatumia chombo kimojawapo cha dola kufuta karibu kila lilioanzishwa na Democrats! Mfuko Wa bima ya afya, Green Card, Paris Agreement on climate change, mkataba na Iran, Wamevunjavunja! Democrats kwa kutambua wenzao ndio wenye dhamana wametulia tulii wananyolewa bila maji! Wanaofurukuta wanatishiwa kufutiwa kinga ya kibalozi au congress!

CCM isione haya kutumia vyombo vya dola! Mkiona haya siku wenzenu watapewa dhamana ya kuvimiliki mtaona!!! Kwa sasa ni wivu na maumivu ndio yanawafanya walalamike!
Mbona kama ulisoma chuo kimoja na Jessica???
 
Yaani wewe jamaa ni kinyesi!
 
We una matatizo makubwa kwa kichwa yako hujui uandikalo, uliskia lini nchi zilizo staarabika zinatumia hao jamaa kupambana na Wenye mawazo mbadala?

Ndio maana hizo nchi zilizo staarabika wanaita police service sio kama huku kwetu kwa Wenye vichwa ka vya korosho wanaita police force, hovyo kabisa pole kwa kushikiwa akili.
 
Mleta uzi umewehuka

Ngoja tumnyooshe mpaka ajitambue kwani kalala gheto la le mutuz kakaririshwa ujinga na akina Musiba wa jarida la jamvi la habari kajitoa fahamu zote akiamini kuwa Uzushi wake utakubalika kirahisi, ameshahau watanzania wa sasa wapo makini na wana Akili kuliko wana CCM wote.
 
Sentensi mbili za mwanzo zinatosha kumjuwa mleta maada uelewa wake mambo🐙
 
Back
Top Bottom