Vionex Solutions
Senior Member
- Jun 7, 2011
- 142
- 20
umejitambulisha vizuri ila hukusema uko darasa la ngapi?Najua wengi mtadhani mawazo yangu ni ya kimaskini wengine mtafikiri akili zangu ni fupi kama maisha ya funza lakina LA HASHA.....Lets my fellow students tuimagine, m2 akitaka kusoma daftari au kitabu anakiloweka/anakichemsha na maji kwenye jiko alafu anakunywa hayo MAJI!......nadhan hakuna mtu yoyote ambae angekua anafeli mtihani au Wadau mnasemaje?Asanteni!NAWASILISHA HOJA!
c o upande ule wa ndugu zako bhana mie nipo Mzumbe!kweli mwanafunzi,cjui shule gani vile?lazima itakuwa special school,ya wale ndugu zetu wa upande wa pili!
Aisee samahanini wana JF maana naona mnanishambulia kichizi!