Hoja kuhusu mtando wa simu

Joined
Nov 18, 2018
Posts
26
Reaction score
5
Habari zenu watafiti, wasomi na wachambuzi wa mambo. leo ni siku ya tatu napokea sms mfurulizo hadi zinakera. niliwapigia Airtel wakajibu sio sms zao labda niangalie setting ktk simu. kuna chanzo nakihisi kuhusu hili tatizo:kuna mtu nilimuomba anitumie namba na akaniambia ameshatuma kwa mfumo wa V card na haikufika. baadae siku iliofuata zikaanza hizi sms kuja kila mara. naomba msaada katika hili tatizo. sample sms hii hapa.
 
Hiyo inaitwa Cell Broadcast Messages!..
Nenda sms setting tafuta sehemu ya Cell broadcast kaiweke OFF.
 
Habari za.asb, Nashukuru kwa maelekezo. Ni kweli niliingia setting hadi cell broadcast messages na kuweka off. Hadi sasa sijaona tena zile sms zikiingia. AHSANTE SANA mtaalam WICK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…