K Kibubumo Member Joined Dec 19, 2011 Posts 18 Reaction score 2 Dec 28, 2011 #1 ndio hivyo tena 2naelekea mwisho wa 2011, ni thread ipi ktk hoja na habari mchanganyiko iliyoongoza ktk 2011??
ndio hivyo tena 2naelekea mwisho wa 2011, ni thread ipi ktk hoja na habari mchanganyiko iliyoongoza ktk 2011??
Mpita Njia JF-Expert Member Joined Mar 3, 2008 Posts 6,999 Reaction score 1,187 Dec 28, 2011 #2 Hivi kwa nini mnataka wengine wawafanyie kazi? Kwa nini wewe usifanye utafiti wako na kuja hapa na hoja ambazo unaona zilizua changamoto? Unataka watu wengine wakufanyie halafu wewe utafanya nini?
Hivi kwa nini mnataka wengine wawafanyie kazi? Kwa nini wewe usifanye utafiti wako na kuja hapa na hoja ambazo unaona zilizua changamoto? Unataka watu wengine wakufanyie halafu wewe utafanya nini?