Hoja bungeni.!

getrusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
2,150
Reaction score
1,824
Wakuu naomba kujuzwa mimi kama mwananchi wa kawaida nisiyekuwa na chama chochote je naweza peleka hoja yangu binafsi Bungeni na ikajadiliwa na kutolewa maamuzi kwa faida ya wananchi wote..?
Kama ndio je ni utaratibu gani unapaswa ufuatwe.?
Kama haiwezekani je nikitaka hiyo.hoja ijadiliwe natumia utaratibu gani mwingine..?
naomba kusiadiwa tafadhari kama kuna wajuzi. Wa mambo hayo..
 
mpelekee Mbunge wako... Watanzania wote tuna hoja binafsi wote tukizipeleka huko sipati picha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…