Lipumba kutoka Mkoani Tabora,utadhani alizaliwa pale Tabora station ya gari moshi.Nondo kweli kweli nimezisoma chache zingine nitazimalizia baada ya game za basketball. Lipumb anatakiwa aingizwe kwenye ile list ya kupinga ujinga, maradhi na makazi mabaya
Huyo Duni anaweza ongoza kwa karatasi tu, alikabidhiwa wizara ya Afya Zanzibar mbona hakuonyesha matumaini kwa wana Zanzibar.
Bora akae kimya
Sasa kama walijua kuwa hawatafanya kitu mbona bado yupo ktk kiti cha umea so mngatuke,Uliokuwa UWAZIRI WA AFYA wa Mh Juma Duni Haji hauna tofauti na umeya wa Dar es Salaam chini ya UKAWA!! Jee unafikiri CCM wataruhusu UKAWA wafanye vizuri katika kuliongoza jiji ilhali wanatambua kwa kuwaruhusu kufanya hivyo ni kujimaliza wenyewe!!??
Vivyo hivyo kwa Mh. Duni, yeye alikuwa waziri tu wa afya ambae hakuwa na hela za bajeti ya wizara yake ya afya Kutoka mfukoni mwake!! Wizara yake ilihitaji pesa Kutoka serikali kuu ambayo ilikuwa chini ya CCM hivyo walimkwamisha kwa kila alilopanga kulifanya
Ficha ujinga wako, na usiingie humu tenaNdo nani huyu?
Duni Haji kAJENGA hoja zinazojichanganya,au uelewa wangu mdogo.Kwa hiyo anakiri kuwa bila Pro.Lipumba kuachia ngazi UKAWA ingeshinda na malalamiko yao kuwa CCM iliwaibia zilikuwa mbwembwe tu.hv huyu si ndo aliyesema ndan ya chadema wote ni kambale?
Sisi cuf bara bado tuna imani na lipumba
Mpaka Leo hatuna mshauri Wa uchumi anayewasaidia watu mbalimbali nchini,Lipumba angejenga consultancy kubwa ya kiuchumi ambayo ningekuwa inashauri Governmental na non Governmental na non Governmental organi za nje na ndani na nje ya nchi,achilia mbali watu binafsi,angekuwa anafanya seminar mbali mbali ndani na nje ya nchi,angekuwa pia anaandika vitabu na kuviuza kwa watu mbalimbalj,Lipumba angekuwa millionaire na angekuwa na repute kubwa,nadhani angekuwa kama Kiyosaki kwa bongo hii,siasa imepoteza hadhi na heshima ya Lipumba,Leo hii teja ana heshimika kuliko Lipumba amepoteza followers wengi Sana aliokuwa anawashawishi kwa elimu aliyonayo
Mtaendelea kudanganywa na wanasiasa mpaka mkome, na ccm itatawala mpaka ichoke na bado pandikizi katika vyama watakuepo, na wataendelea kuwachezea akili zenu masinema na mamuvi mpaka mjitambue, akuna cha sijui babu nani wala pro, fanyeni vitu vingine ,bado vijana sana, fanyeni kazi Tanzania ni nchi yakipekee vitaondoka vyama vyote vikongwe vya nchi nyingine bt , kwa Tanzania bado sana ,mtaendelea kudanganywa na wanasiasa mpaka basi, tutakuweka ww tukikuchoka unaka pembeni tunaweka mwingine , ndugu zangu naombeni mfanye uchunguzi wa viongozi wa vyama vyenu , wengi ni waigizaji msidanganywe. Muvi linaendelea , 2020 tunawaletea pat 5 season 2. GdayFicha ujinga wako, na usiingie humu tena