Hoja 28 za Juma Duni Haji

Jitambue ucwe

Mafanikio ya cuf.. cdm.. nccr ni umoja wao na ndio kilio chetu miaka mingi tumekuomba.
Juhudi namafanikio ya cuf ni umoja huo.nje ya hapo viangalie vilivojitenga na ukawa je vimefanikiwa????
ucwe kama umebugia kikombe cha babu
 
Kama umemeza kikombe cha babu huwezi kumwelewa BabuDUNI hata uburuzwe vipi utabakia kuwa
wa lumumba
 
Babu Duni mimi ninakusupport kwa asili Mia zote. Kuna home met na rafiki yangu mmoja amekataa kuitwa Dr au prof kwa sababu anadai wenye elimu hiyo wamemdhalilisha sana. Hata akiwa bar akiitwa Dr au prof anahama kwa sababu ya aibu waliyopakwa na watu wa aina hiyo. Mungu atusaidie sana
 
Juma duni ni mmoja wa watu smart waliopo Upinzani

God bless him
 
Hoja zako sikubaliani nazo. Ilikuwaje watu wakawapigia kura Ukawa wakati mjenzi profesa amejitoa tena 2months before. Kama alikuwa asset watu wangehama naye then Ukawa wangepata kura kidogo.
 
Huyu ndiye yule alitoka CUF akaenda chadema akarudi tena CUF?
Ndio,na hilo liliweka usawa!Mgombea mwenza awe wa Cuf na katiba haikuruhusu aje na kofia hiyo hivyo akalazimika kuchukua kadi ya CDM kutimiza matakwa ya kikatiba!Cha msingi ni makubaliano!Hili sisi wafuasi tulilielewa,hatuna shida nalo!
 
Hoja zako sikubaliani nazo. Ilikuwaje watu wakawapigia kura Ukawa wakati mjenzi profesa amejitoa tena 2months before. Kama alikuwa asset watu wangehama naye then Ukawa wangepata kura kidogo.
Umemueleza vizuri!UKAWA ilipata nguvu ambayo si lipumba au Slaa ambao wangeweza kuiteteresha!
 
Duni ni kama aliesetiwa atoe hilo kombora baada ya kikao na lowassa jana.
Muda wote alikua wapi huyo Duni kuyasema hayo?
Siwezi kumuamini mtu kama Duni,kama aliweza kukipa kisogo chama chake kwa tamaa tu ya madaraka,nani ataamini bandiko lake ambalo linazidi kuimaliza kafu badala ya Lipumba
 
Kashajibiwa hizo hoja zake fb na sasa tutamuanika jinsi walivyopiga pesa za miradi ya cuf
Kupiga pesa za miradi ya CUF ndio kujibu hizo hoja 28? Lete huku hayo majibu, na wala kupiga pesa za miradi haiwezi kuwa majibu ya hizo hoja
 
7000
 
Haya yote umeyataka wewe Lipumba, ona sasa huyu mtu Duni anavyotutukana Watanganyika wote...., eti hatuna akili sisi na viongozi wetu kwa kulaghaiwa na mzee wa Loliondo, wkt si watanganyika wote tulioamini ule upuuz! lakini hapa tumetiwa kapu moja.
 
Jana tumesibitishiwa lipumba ni mradi wa ccm, alivo zezeta akakubali kwenda
 
Ama kweli PhD za kutunikiwa zina mashaka yaani hata asoenda shule anajua kwamba Prof anatumiwa kama mwiko was pilau malipo yake kung'ara kwa mafuta. Ama kweli Mungu hamfichi MNAFIKI.
 
Babu kashusha nondo. Na leo nimefahamu hazina ya wazee iliyopo upinzani. M
zee anajenga hoja huku akiongozwa na takwimu. Prof avuliwa nguo na kuinamishwa
Huyo Duni anaweza ongoza kwa karatasi tu, alikabidhiwa wizara ya Afya Zanzibar mbona hakuonyesha matumaini kwa wana Zanzibar.
Bora akae kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…