Hoja 28 za Juma Duni Haji

Una uhakika kuwa anatumika?
 
Anayepingana na hizi nondo nina mashaka na uwezo wake wa kufikiri.

Content with stats.. Anayemjibu tunaomba na yeye aje na takwimu sio maneno matupu. Period
 
Duni unatutukana watanganyika na baadhi ya watanganyika wanashangilia!!! Imeniuma sana ila namwachia mungu
 
Mtu aliyetaka kuwa makamu wa raisi halafu kumbe unatudharau watanganyika!! Mungu ni mwema kutuepusha na hilo, I love tanzania
 
Kabisa

Nimesoma nikajisikia uchungu sana lakini haikunifanya nipingane na alichokisema.
Wazanzibar wametuzidi sana katika kujielewa.
Wana msimamo na umoja tofauti na sisi unafiki na uroho vimetuzidi.

Si kweli. Kama wangekuwa wanajielewa wangekuwa tayari wamemshtukia Maalim Seif. kwa sabb kila uchaguzi anagombea tu huku akijua hatapata ushindi piga ua. na walivyo na uzuzu wataendelea naye tu hata 2020 mpaka atakapofariki mwenyewe.
 
Huyu ndiye yule alitoka CUF akaenda chadema akarudi tena CUF?
ndio yeye mkuu... tena aliondoka chadema na kusema chadema ni familia ya makambale.. baba, mama, motto wote wana ndevu. ha ha ha ha.....
 
Uliwahi kusikia wapi seif amefuta uchaguzi? MTU aliyeshindwa ni yule aliyefuta uchaguzi baada ya kushindwa kama aliavyofanya raisi wa Gambia
 
Je tunaweza kwenda kwa takwimu kama alivyofanya kwenye andiko lake?
CCM WAMEKUWA WAKITUMIA KUTOJITAMBUA KWA WATZ WENGI KAMA SILAHA YAO YA KUPOKA KILA KITU......NILITEGEMEA KWA TAKWIMU ZA MZEE JUMA DUNI HAJJI, WATU WAZIPINGE KWA TAKWIMU...MATOKEO YAKE NI AIBU TUPU.....INASHANGAZA KUONA UHUNI ALOFANYA "LE PROFESSOR FAKE" KUNA WATZ BADO WANAMUONA YUKO SAHIHI....INASIKITISHA NA INAUMA SANA...
 
...bado natatizwa na tafsiri iliyopo, kwamba miezi miwili ya ujio wa lowassa ktk ukawa, kupitia chadema, ndio iliopelekea cuf kupata mafanikio ya kunyakua viti vya ubunge na udiwani, ktk maeneo ambayo, wafuatiliaji wa mambo tunakumbuka namna cuf ilivyokuwa imefanya juhudi za kujiimarisha ktk maeneo hayo , kitambo tokea 2010..! hakika ukitaka kumuua umbwa usiye mtaka, mpachike jina baya...lkn pia, dhambi ya kubagua, mkishaianza, huwa haiwaachi...itaendelea kuwatafuna tu ( chambilecho JKN)
 
hv huyu si ndo aliyesema ndan ya chadema wote ni kambale?
....ni huyo! akijichora pia huku akijichezesha kizembe na kauli yake koko iliyomrejea mwenyewe, ya kifo cha mende....ni msomi wa aina ile ya kutojua hata athari za kujiuzulu uanachama wa chama chake, zilivyo pindi akiamua ''kurudi matimila'....huyu ni sehemu kabisa pia( kama walivyo kina lipumba, seif, lowassa,mbowe na hata sumaye na kingunge) ya aibu ya siasa za tanzania, kupitia wanasiasa koko!
 
Kwa maelezo hayo ni wazi kuwa Profesa ameutumia uprofesa wake vizuri katika kuchezea akili zao na hawakuwa wakijua,na ikiwa Lipumba aliweza kuwatoa wapinzani kwenye bunge la katiba kama mpango wa ccm na je,vp pendekezo lake la Kumleta Lowassa nalo sio mpango wa ccm? maana hilo nalo la kuliangalia.

Na kwa hali hiyo viongozi wa upinzani sio wa kuaminika,maana huwezi kujua ni yupi anatumika na ccm,nani angeweza kufikiri kuwa leo Lipumba alikuwa anatumika na ccm kwa kipindi chote hicho? ni wazi wapo wengi mfano wa Lipumba katika vyama vya upinzani.

Na ni wazi kuwa hawa wanasiasa wanajali masilahi yao zaidi ya sisi tunavyowafikiria.
 
Chongeni lkn msg ya mjelajela imewaingia mpaka kwenye mfupa
 
BabuDUNI ameshasema cha kwanza kabisa ni kujitambua...
Lkn kama bado umburula basi ni sawa na kunywa kikombe cha BABU utaendelea kuwa ZOMBI
wa Lumumba
 
[quote uid=24392 name="Domhome" post=18812673]CCM WAMEKUWA WAKITUMIA KUTOJITAMBUA KWA WATZ WENGI KAMA SILAHA YAO YA KUPOKA KILA KITU......NILITEGEMEA KWA TAKWIMU ZA MZEE JUMA DUNI HAJJI, WATU WAZIPINGE KWA TAKWIMU...MATOKEO YAKE NI AIBU TUPU.....INASHANGAZA KUONA UHUNI ALOFANYA "LE PROFESSOR FAKE" KUNA WATZ BADO WANAMUONA YUKO SAHIHI....INASIKITISHA NA INAUMA SANA...[/QUOTE]<br />BabuDUNI ameshasema cha kwanza kabisa ni kujitambua...<br />Lkn kama bado umburula basi ni sawa na kunywa kikombe cha BABU utaendelea kuwa ZOMBI
wa Lumumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…