Hoja 18 kesi ya lema tutegemee nini??

Hakika kama wataihamishia DAR nitahamasisha wapenda haki wote wajitokeze kwenye kesi hiyo,tena itafanyika kwa kishindo na wao watashangaa.mfano mdogo nis siku ya hukumu ya Mahanga,japo walishnda kesi katika misingi yao lakini tulihakikisha mafisadi wamiliki wa chama cha magwepande tunawapeleka mpaka Lumumba na mjini hapakutosha,na for sure tutatumia umoja tuliokuwa nao pia siku ya hukumu ya Mh Mnyika.
Tuombe heri na uzima,wao waamue tu lolote
 
Back
Top Bottom