Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,097
- 34,913
Kinachotusumbua watanzania ni ukosefu wa elimu pamoja na umaskini uliopindukia. Watu wanashindwa kuwa wabunifu wa shughuli za kiuchumi wanaishia kwenye imani hizi za kishirikina, za kuamini kwamba kichwa cha mtu kitampa utajiri nk. Viongozi wajao wajaribu sana kuona ni kwa namna gani watapunguza hali ya umasikini kwa watanzania, maana Kikwete kashindwa kabisa.[TABLE="width: 491"]
[TR="bgcolor: #E1E1E1"]
[TD]KUMEZUKA KUNDI Hatari linalojiita Makhirikhiri katika visiwa vya Ukerewe huko Ziwa Viktoria ambalo linahatarisha maisha ya watu kwa kuwachinja na kisha kuchukua viungo.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 3"]Kundi hilo linawateka watu umbali mrefu na kisha kuwachinja na hatimaye kuchukua viungo wanavyohitaji katika mwili huo
Imedaiwa kuwa, hali ni mbaya kwa kuzuka kwa watu ambapo sasa wakazi wa maeneno hayo kupatwa na hofu ya uhai wao kutokana na utekwaji hovyo wa watu kiunyama
Imedaiwa kundi hilo hutumia mbinu mbalimbali ikiwemo kuteka mabasi, pikipiki ya abiria na kisha kuamrisha vyombo hivyo kwenda wanapopahitaji na kisha kuchinja watu kinguvu na kujipatia viungo
Tayari watu kadhaa wameshatekwa na kuuawa na kundi hilo na kujipatia viungo na kudaiwa kundi hilo hata mchana wa jua kali hutembea na kuteka watu huku wakiwa na silaha
Moja ya viungo vinavyohitajika mara baada ya kuchinja mtu kikiwemo kichwa,Mikoni pamoja na sehemu za siri ndio viungo vikubwa wanavyohitaji watu hao[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Hofu yatanda Ukerewe
Mkuu Lukolo lakiniKinachotusumbua watanzania ni ukosefu wa elimu pamoja na umaskini uliopindukia. Watu wanashindwa kuwa wabunifu wa shughuli za kiuchumi wanaishia kwenye imani hizi za kishirikina, za kuamini kwamba kichwa cha mtu kitampa utajiri nk. Viongozi wajao wajaribu sana kuona ni kwa namna gani watapunguza hali ya umasikini kwa watanzania, maana Kikwete kashindwa kabisa.
Hiyo imani ya kipara lazima itakuwa ilianzia Mbeya. Maana Mbeya ndiyo kitovu cha uchawi africa mashariki kusini na kati. Yaani hizi habari za vipara vina utajiri mimi nimezisikia tangu nikiwa mdogo na tangu wakati huo watu wenye vipara walikuwa hawaonyeshi kabisa. Ninachodhani hapa tatizo ni elimu tu. Hakuna kingine ujinga ukishakuwa mwingi utajikuta unaamini hata vitu ambavyo havipo katika dunia hii.Mkuu Lukolo lakini
Sio hapo tu Tanzania mimi niliwahi kuwepo nchini Zambia mnamo mwaka 1980 huko Zambia kuna watu waliambia
kuwa kama unaweza kumleta Mtu mwenye kipara wataweza kunipatia pesa nyingi sana yuko mzee mmoja huko
Zambia nikamuuliza kwanini unahitaji mtu mwenye kipara akasema mtu mwenye upara kichwa chake ni dawa ya
kupata utajiri nikamuogopa huyo Mzee mmoja wa ki Zambia na ukiangalia kwa makini hakuna kitu kama hicho
kwenye kutafuta huo utajiri ni imani mbovu za watu. Ni ujinga fulani wa hao wanaotafuta Utajiri kwa njia ya
haraka haraka hakuna kabisa Eti umkate mtu albino kichwa au miguu upate utajiri kwenda zako nani
kakwambia umdhulumu mtu nafsi yake eti wewe uwe tajiri hakuna kitu kama hicho haikubaliki kabisa. Ni
Ukosefu wa elimu, Umasikini na ajira ndio unaochangia watu wachache kufanya ujinga kama huo.