Hofu yatanda Kigamboni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hofu yatanda Kigamboni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Aug 30, 2010.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,303
  Likes Received: 22,105
  Trophy Points: 280
  Hakijaeleweka ni nini, lakini miungurumo mizito na vumbi lililochanganyikana na moshi vimetanda angani na kuleta hofu kubwa Maeneo ya Kigamboni.
  Mwenye taarifa rasmi za kinachojiri atujulishe.
   
 2. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mkuu nini tena huko? Naona hamna aliyejitokeza kuleta taarifa zaidi hadi sasa
   
Loading...