Ukitawaliwa na hofu unapunguza kujiamini matokeo yake unapoteza weledi kwenye kazi yaani ni kwamba inakua una macho lakini huoni..iko hivi unaweza kuona nyeusi ukasema nyeupe na vice versa..
Kuna mtaalamu mmoja sitamtaja jina wala ofisi nilifanya mahojiano naye. Alikwepa sana kuelezea hili jambo kiundani zaidi. Zaidi aliishia kusema kuna technicalities tu ndio shida ktk hilo jambo.
Anyway yalikuwa ni mazungumzo ktk kupata kilaji.
Rais, Dr. Magufuli , nilimkubali sana kwa kumtumbua MD. Malichela, kwa porojo zake za kupewa murungala na wazungu koko pia hongera sana UwT kwa kugundua njama hatarious za wazungu koko.
A scientist stands and says they have discovered something
A politician stands and says there is nothing like that or does not confirm if there is
Whom do you believe?
A person whose profession is to use scientific equipments and gather data before speaking "scientist"
Or
A person whose profession is just talking in order to control and satisfy people and the people of the country.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.