"Hofu ya Mh. Zitto"

Sijakuelewa mkuu. ufafanuzi tafadhali..

Wakati wa bajeti ya kilimo Zito alipinga sana serikali kuruhusu mazao yaliyooteshwa kwa njia ya Genetically modified, sijui kama nimeweka lugha sawa lakini ndio hivyo. Sasa ona hilo hindi kubwa kuliko mtu, je kuna usalama kwa chakula cha aina hiyo. Ni sawa na hawa kuku wanaofugwa kwa mwezi mmoja na tunalishwa bini adam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…