Hofu ya CCM Uchaguzi Ujao ni hii

Hofu ya CCM Uchaguzi Ujao ni hii

Je,mleta maada unaweza kutuwekea ushahid?Kama ukiweka ushahidi nafikir tutakuwa na sisi tumefaidika na habar hiyo.Lakin kama unaongea kama mlevi wa mansese basi ni haki yako.

Picha ina-upload mkuu, ila net inasumbua!!!!!!
 
Je,mleta maada unaweza kutuwekea ushahid?Kama ukiweka ushahidi nafikir tutakuwa na sisi tumefaidika na habar hiyo.Lakin kama unaongea kama mlevi wa mansese basi ni haki yako.

Na wewe kanusha hilo kwa ushahidi usipofanya hivyo utakuwa unaongea kama umevimbiwa na maharage sijui ya wapi?
 
Hivi jk atasaini lini ile sheria ya makosa ya mtandaoni?
 
kwenye mikutano yao siku hizi watu wanawacheka sana mfano mzuri uchaguzi serekali za mitaa kinana hakuamini na hatakaa amini alicho kiona sehemu aliyo jiwekea 100% waliambulia 15% !!! ccm imechoka +imechokwa!! hakuna namna tena!
 
kubwa zaidi Sera zimeisha za kutunga mfano maisha bora kwa kila mtanzania sasa mpaka hapo unategemea watakuja tena na kibwagizo Gan tena?

Sera ya kuitunza amani na kisingizio cha mvua na uchumi hata marekani uliyumba watu wa hovyo kuwahi tokea karne hii ya tatu.
 
Lakini kitu kingine kilichowastua kupita kiasi hao Sisiem, ni mwamko wa hali ya juu waliouonyesha vihana wa 'kinyalukolo' kule Makambako, mkoani Njombe, ambako hilo zoezi la uandikishaji ndiko lilikoanzia, ambako vijana wengi walikuwa 'wakijihimu' kuamka saa 8 usiku ili kuwahi foleni ya uandikishaji wa kesho yake.

Baada ya hao Sisiem kufanya 'ushushushu' wao wenyewe wakagundua kuwa zaidi ya asilimia 80 ya waliojiandikisha huko wameonyesha dhamira ya kuwapigia kura Ukawa.

Baada ya hao maccm kuligundua hilo, wanaona sasa safari yao 'imeiva' ya kuvifuata vyama vingine viasisi vya nchi jirani, kama vile KANU ya Kenya, UPC ya Uganda na UNIP ya Zambia kuvifuata kule vilikokwenda.

Nyamaza utamuu mama wa watu f.foixy kwa presha manake ana mapenzi na hili lichama kama vile ndio lililomleta duniani .
 
Back
Top Bottom