Hofu ya CCM Uchaguzi Ujao ni hii

Hofu ya CCM Uchaguzi Ujao ni hii

Travelogue_tz

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2010
Posts
855
Reaction score
1,224
Uchaguzi ujao wa Oct, 2015 ni Uchaguzi mgumu katika historia ya CCM. Ugumu wake si tu kwa sababu ya kukosa mgombea mwadilifu, Si tu kwa sababu ya makundi ya Urais, si tu kwa sababu ya upinzani kuunganisha nguvu na kuwa kitu kimoja bali Ugumu hasa unatokana na historia ya Uchaguzi wa 2010 ambapo JK hakufikisha asilimia 60. Pia kuthibitika kwa taarifa kwamba JK hakushinda Uchaguzi wa 2010.
Pia kwa mkakati wa watawala Chadema haikutakiwa kufika 2015 au kama ingefika basi ni dhaifu zaidi. Ni historia chama cha upinzani kinashiriki chaguzi mbili huku kikiwa na nguvu zaidi.
 
kubwa zaidi Sera zimeisha za kutunga mfano maisha bora kwa kila mtanzania sasa mpaka hapo unategemea watakuja tena na kibwagizo Gan tena?

Watakuja na Sera ya Tanzania hakuna mwadilifu, jali mambo yako, Ukipata nafasi kula na wewe
 
WAONDIKE TU.. Walichotufanya kwa miaka zaidi ya 50 watuachie tu nchi yetu!!

TUMEWACHOKA!!
 
Watakuja na Sera ya Tanzania hakuna mwadilifu, jali mambo yako, Ukipata nafasi kula na wewe

wakija na hiyo ujue asubuhi saa nne October 25 watu wanasherekea ushindi wa ukawa
 
Uchaguzi ujao wa Oct, 2015 ni Uchaguzi mgumu katika historia ya CCM. Ugumu wake si tu kwa sababu ya kukosa mgombea mwadilifu, Si tu kwa sababu ya makundi ya Urais, si tu kwa sababu ya upinzani kuunganisha nguvu na kuwa kitu kimoja bali Ugumu hasa unatokana na historia ya Uchaguzi wa 2010 ambapo JK hakufikisha asilimia 60. Pia kuthibitika kwa taarifa kwamba JK hakushinda Uchaguzi wa 2010.
Pia kwa mkakati wa watawala Chadema haikutakiwa kufika 2015 au kama ingefika basi ni dhaifu zaidi. Ni historia chama cha upinzani kinashiriki chaguzi mbili huku kikiwa na nguvu zaidi.
Na hicho ndicho kinachosababisha serikali hiyo ya magamba ione kwamba kama Tume ya uchaguzi itaandikisha wananchi wote kwenye daftari la kudumu, uwezekano wa Sisiem kushinda kwenye uchaguzi huo wa Oktoba utakuwa mdogo, sawasawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.

Hiyo ndiyo siri kubwa inayofanya Tume ya uchaguzi iandikishe wapiga kura kwa mwendo wa 'kinyonga' ili ifikapo July waseme hakuna uwezekano wa kukamilisha zoezi la uandikishaji, kwa hiyo 'wataannounce' kuwa uchaguzi utaahirishwa kwa kipindi kisichojulikana, kama walivyofanya kwenye kura ya maoni ya katiba yao pendekezwa ya Lumumba!
 
Ma fisi yana hahaha huku na kule Call ambulance service to help this ccm ----.

swissme
 
Lakini kitu kingine kilichowastua kupita kiasi hao Sisiem, ni mwamko wa hali ya juu waliouonyesha vijana wa 'kinyalukolo' kule Makambako, mkoani Njombe, ambako hilo zoezi la uandikishaji ndiko lilikoanzia, ambako vijana wengi walikuwa 'wakijihimu' kuamka saa 8 usiku ili kuwahi foleni ya uandikishaji wa kesho yake.

Baada ya hao Sisiem kufanya 'ushushushu' wao wenyewe wakagundua kuwa zaidi ya asilimia 80 ya waliojiandikisha huko wameonyesha dhamira ya kuwapigia kura Ukawa.

Baada ya hao maccm kuligundua hilo, wanaona sasa safari yao 'imeiva' ya kuvifuata vyama vingine viasisi vya nchi jirani, kama vile KANU ya Kenya, UPC ya Uganda na UNIP ya Zambia kuvifuata kule vilikokwenda.
 
Uchaguzi ujao wa Oct, 2015 ni Uchaguzi mgumu katika historia ya CCM. Ugumu wake si tu kwa sababu ya kukosa mgombea mwadilifu, Si tu kwa sababu ya makundi ya Urais, si tu kwa sababu ya upinzani kuunganisha nguvu na kuwa kitu kimoja bali Ugumu hasa unatokana na historia ya Uchaguzi wa 2010 ambapo JK hakufikisha asilimia 60. Pia kuthibitika kwa taarifa kwamba JK hakushinda Uchaguzi wa 2010.
Pia kwa mkakati wa watawala Chadema haikutakiwa kufika 2015 au kama ingefika basi ni dhaifu zaidi. Ni historia chama cha upinzani kinashiriki chaguzi mbili huku kikiwa na nguvu zaidi.

Je,mleta maada unaweza kutuwekea ushahid?Kama ukiweka ushahidi nafikir tutakuwa na sisi tumefaidika na habar hiyo.Lakin kama unaongea kama mlevi wa mansese basi ni haki yako.
 
Mtu wao mmoja aliwahi kuwaambia; Huwezi kuzuia mafuriko kwa mikono. Sasa tunawaambia, Kitaeleweka tuu. Mpaka walie PO.
Hawawezi kuyazuia mabadiliko kwa maigizo yao. Hata kama hawajaandikwa watu, kuta itapigwa tu. Iwe kwa penseli au wino lakini iwe kuta tu.
Tutaitwa tusimame nyuma ya picha ya mgombea, lakini Novemba mosi Rais ataapishwa aliyechaguliwa kwa ridhaa ya wananchi.
Hii inaonesha kutokuwa na wana mipango Tz. Jambo kuu ka hili hakuna mpango wowote?
 
hahahahaha hadi rahaaaaaaaa
 
Mwaka huu nina hasira sana na CCM na viongozi wake wote...yaan lazima UKAWA Ishinde...Dr slaa alivumilia sana kipindi kile na ni baada ya mabalozi na viongozi wa dini kumshawishi atulie...vinginevyo.....
 
Jamii yoyote hupata viongozi inaowastahili. Jamii ya miaka ya nyuma ilistahili viongozi wa CCM kwa sbb ndio halioistahili. Jamii ya leo ni jamii tofauti na ile ya Jana na juzi kwa maana hiyo viongozi wanaoistahili ni tofauti na wale wa Jana na juzi.
 
Uchaguzi ujao wa Oct, 2015 ni Uchaguzi mgumu katika historia ya CCM. Ugumu wake si tu kwa sababu ya kukosa mgombea mwadilifu, Si tu kwa sababu ya makundi ya Urais, si tu kwa sababu ya upinzani kuunganisha nguvu na kuwa kitu kimoja bali Ugumu hasa unatokana na historia ya Uchaguzi wa 2010 ambapo JK hakufikisha asilimia 60. Pia kuthibitika kwa taarifa kwamba JK hakushinda Uchaguzi wa 2010.
Pia kwa mkakati wa watawala Chadema haikutakiwa kufika 2015 au kama ingefika basi ni dhaifu zaidi. Ni historia chama cha upinzani kinashiriki chaguzi mbili huku kikiwa na nguvu zaidi.

Aliyeua chama changu CCM anafahamika. Ni yule aliyejaa uswahili mwingi. Anayependa majungu na sofa kuliko maelezo. CCM utazikwa rasmi 2015 lakini wale waliosababisha kifo chako hata mashetani Kyle kuzimu hawatawasamehe.

Furaha yangu nitaipata kwenye nchi mpya itakayozaliwa upya. Nakulilia CCM lakini tangulia wabaya wako wanafahamika. Ni wale waliyowalea wasaliti waliyeanzisha chama ndani ya chama. Sofia simba utasamehewa kwa kuwa muazi na kuishi ahadi namba 8 ya CCM. Wangekusiliza tungefika hapa ulipo.

Ni jambo linalotia uchungu sana unapomuona mwanao unaompenda akifa. Inauma na kusikitisha sana. Hili ndilo zao la wapendwa sofa na fitna. Kwa heri chama change nikipendacho.
 
ccm kwa akili zao za kimbumbumbu wamewafanya wazungu waamini kuwa wa afrika hatuna akili kumbe kuna vichwa vyenye IQ hujawai ona ila tu hawapo kwenye system
 
Hilo swala liko wazi magamba hwana nafasi 2015 watahangaika sana mbaya zaidi lazma waparaganyike tu
 
Kiukweli ccm wamechoka wawapishe wazalendo maana kila kitu tunacho lakini nchi haina lolote hovyohovyo
 
Back
Top Bottom