Ndekirhepva
JF-Expert Member
- May 18, 2012
- 371
- 44
Kwanza unge anza kuuliza ni nani aliyewapa namba yako!!!????Leo majira ya saa 22:45 nimepata ujumbe unaosoma,
"Raia mwema fuata sheria na taratibu zilizowekwa wakati wa kudai haki yako. Mamlaka husika itakusikiliza ukifuata utaratibu. Utakapozivunja sheria itafuata mkondo wake. Kumbuka Mungu ni wautaratibu vivyo hivyo na Serikali. Tudumishd amani" mwisho wa ku nukuu, sender ni "Emergency service"
najiuliza, imeanza lini haki kupatikana ndani ya magamba?
Na kume nao wanamjua mungu?
Huu ni mchezo wa kina power mabula na kiini macho.
Rai yangu, makampuni ya simu na mengne,msikubal kutumika kwani mnaem2mikia hatokuwepo siku chache zijazo na utatapatapa, ni hayo tu kwa usiku wa leo wakuu,hope kuna walopata ujumbe huu pia
Leo majira ya saa 22:45 nimepata ujumbe unaosoma,

Huwezi ukaelewa kwa maana hii ni sumu kwa zile buku 7, tafuta maziwa fresh utaelewa tuhata huelweki cjui umelewa wewe
Sasa hapa utajua kuwa hii nchi imeingiliwa huyu mtu anayeponda ujumbe wa namna hii kazoea kupokea ujumbe wa matusi kwa serikali na kuchochea vurugu anazotumiwa na chama chake sasa kupokea ujumbe kama huu anashangaa.
swali la msingi, na hapo ndio tulitaka serikali itufafanulie, kwa maana sidhani kama yupo aliedai haki yake kwa njia salama kwenye hii serikali ya m.kwere na akafanikiwani sawa lakini je haki zinapatikana pale unapohoji?