Hofu inayowatesa vijana

Makwaiya
 
Na vipi kuwa na mipango lukuki unatamani kujaribu lakini huna mtaji wala wa kukuwezesha?
Swali zuri na ndio hichi kinachotutesa vijana mada hii ntaiandaa nakuileta kwenu....lakini jibu fupi kila mtu huwa ana mipango mingi lakini katika mipango yote hiyo lazima uwe na pendekezo la kwanza ulikamilishe ukishalikamilisha hilo lengo kuu lazima mipango mingine itafuata...huwezi kamilisha mipango mingi kwa wakati mmoja labda ukishakomaa kifedha lakini kama ndio unaanza huwa ngumu sana ndugu yangu..
 
Ukweli mtupu mkuu
 
mitaji ni tatizo, ukiamua kuuza hata mitumba wagambo njaa wa kibongo lazima waibebe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…