Hofu hewa

Marwa_J_Merengo

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Posts
4,510
Reaction score
6,893
Ni kweli zipo hofu bandia zilizopandikizwa na wanasiasa zinazotufanya tufanye tusivotaka kuvifanya na kuogopa kufanya tunavyopaswa kuvifanya

Haya maswali yamekuja kichwani mwangu baada ya kumsikia katibu mkuu wa ccm akieleza kuwa kuna watu hapa tz wamefanikiwa kuziingiza hofu zao binafsi kuwa ndo hofu zetu

Je, ni kweli watanzania hizi hofu tulizo nazo nyingi ni hofu hewa na kuna njia gani ya kuziondoa tukabaki na hofu zetu halisi

Kupitia Uzi huu naomba tuelezane baadhi ya hofu bandia zilizofanikiwa kupandikizwa na wanasiasa hasa hawa wa upinzani na ikiwezekana kushauri namna ya kuziondoa hofu hizo miongoni mwetu
 
Kutengeneza uzi usiozidi maneno 20 nayo ni hofu hewa!!
Uzi wangu una maneno yanayozidi 20 nadhani kushindwa kusoma mpaka mwisho nayo ni hofu hewa iliyopandikizwa miongoni mwetu kuwa unaweza kutekwa na serikali yako mwenyewe uliyoichagua,unayoiwezesha kupitia ulipaji kodi na unayoweza kuiiondoa wakati wowote kupitia mwakilishi wako bungeni
 
Sasa mm na akili yangu yote niisubiri serikali ije initeke!!
 
Mura wamang'ana mura!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…