Hodiiiiiiiiiiiii

Al_morinaga

Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
38
Reaction score
2
Habari wazarendo wenzangu,,,nafurahi kuwa mmoja wa wazarendo kwa kujiunga na familia hii ya watu wenye fikra pevu juuu ya mwenendo mzima wa maisha yetu,,,hvo nasema hodiiiiiii
 
Umepiga kitabu lakini au wewe ni graduate la kata? Karibu lakini
 
asannteni,,ila naskia humu ukisema ukweli unaouma kuhusu chadema basi utatukanwa mpaka ukome..yani ni kusifia tu
 
Karibu sana mkuu. Hili ni jukwaa linalopigania ukombozi wa Mtz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…