.........................nipo miye mwenzetu,duh naona nikae hapa getini niwasubirie wageni,kwani naona ndani nilishachelewa sana,ila hapa pazuri kwani wengi nimewaona,........................ulipita lini pande hiii?.....................,lakini pia wapo wengine utawaona tuu na kuwasikia ngoja tuwasubirie.............................,ila hujambo lakini................................,wk end ndo hiyo tena umeme si hakuna,........