Ww hujawahi kuambiwa mwanaume humu?? Yani JF mtu chochote anachojisikia kukwambia yy anakwambia.!! Mi nishawazoea na tunataniana sana wala sio shida zangu πππ