Hodi

El Magnifico

Member
Joined
Dec 26, 2010
Posts
14
Reaction score
0
Wandugu wana-jamii naomba kuwasilisha hoja ya kupitishwa kwangu na nyie nyote kuwa miongoni mwa wanajamii wenza wa jukwaa hili tukufu baada ya maombi yangu kukubaliwa na Mods.

Ahsanteni na nawasilisha
 
Kwa kuwa umeruhusiwa na Mods, naunga mkono hoja 100 kwa 100.

Karibu jukwaani
 
Hoja imekubaliwa,kuanzia sasa wewe ni mmoja wa wanajamii(makofi).karibu
 
Una spidi kali kaka..
Mara hii umejua kuweka picha, wakati mimi ilinigharimu miezi 3!!:A S-rap:
Una uenyeji fulani nini broda!!
Hata hivyo karibu saaana!
 
Una spidi kali kaka..
Mara hii umejua kuweka picha, wakati mimi ilinigharimu miezi 3!!:A S-rap:
Una uenyeji fulani nini broda!!
Hata hivyo karibu saaana!

No Paka Jimmy. By the way nimekuwa mfuatiliaji wa JF kwa muda mrefu sana

Pia nilijiunga J2 na hii picha nimeweka leo. Hivyo niliutumia muda huu vizuri kulifahamu jukwaa na mambo mengine mengi ikiwamo sheria zake, kuweka hizi picha (Avatar) na signature. Vilevile ni member wa blog ya FIFA kwa muda na kule pia kuna kuweka avatars

Kusoma tu ndo kumenipa wenyeji mkuu Paka Jimmy, so usitie shaka
 
Una spidi kali kaka..
Mara hii umejua kuweka picha, wakati mimi ilinigharimu miezi 3!!:A S-rap:
Una uenyeji fulani nini broda!!
Hata hivyo karibu saaana!
.......duh kumbe tuko wengi,hadi leo zijaweza kuweka picha.
 
Wandugu wana-jamii naomba kuwasilisha hoja ya kupitishwa kwangu na nyie nyote kuwa miongoni mwa wanajamii wenza wa jukwaa hili tukufu baada ya maombi yangu kukubaliwa na Mods.

Ahsanteni na nawasilisha

Wana JF wameunga mkono hoja, karibu.
Jitahidi kufuata kanuni za jamvi
 
Karibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…