Dijovisonjn
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 466
- 125
Hodi humu ndani jaman!
Karibu sana....
Chumba chako atakuonyesha Katavi..
Ngoja nikakifanyie usafi kwanza kile chumba. Mpe kinywaji na umliwaze pia wakati anasubiri!
usafi mpaka aje mgeni?
usafi mpaka aje mgeni?