Mrs Patrick
Member
- Feb 2, 2012
- 13
- 0
Habari wana jf, plz welcome me..
Patrick hajambo. Asante kwa kunikaribisha.
I wonder kama Patrick ana msaidizi wa kufanana naye, niko tayari kuifanya hiyo kazi bila malipo.
Karibu though...
Karibu sana JF.
Karibu madame
ngo!ngo!ngo!wenyewe?!ngooooooooooooooooooo!
karibu-mlete na mr patrick naye
He! Na wewe umetokea wapi? Mbona unahema kama ulikuwa unakimbizwa, tulia hapo nikuletee maji ya baridi...
Karibu mrs. Patrick. Ingekuwa vizuri ungekuja na Patrick!