karibu ndio kwanza naanza kula kwa vile hujabisha hodi mlangoni(jukwaa la ukaribisho) sitakupa bakuli hapa. chakula cha hapa ni busara,kufikiri kwa kina,epuka jazba,matusi kebehi au ushabiki usiokuwa na tija kwa wanajamii.
Karibu rafiki, lakini mbona hadi chumbani? Hawajakuonesha pa kufikia? Hebu rudi nyuma kidogo kuna chumba cha wageni (utambulisho), nitakukuta hapo tuzungumze.