hodi

njiwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2009
Posts
13,259
Reaction score
7,108
nimekaribishwa na hii msg mlangoni
Hello njiwa It appears that you have not posted on our forums in several weeks, why not take a few moments to ask a question, help provide a solution or just engage in a conversation with another member in any one of our forums?

nimeamuwa nipige hodi tena kwa mara pili
 
karibu saaana ila hpa ni mchango wa mawazo tu ila kula kweenu
 
pita mlango upo wazi,
Ahaaaaaaa za siku nyingi bwana njiwa, ulikuwa wapi sheee; hata kunimis call au ulifichwa.
karibu sana karibu shahawa na kashata
 
pita mlango upo wazi,
Ahaaaaaaa za siku nyingi bwana njiwa, ulikuwa wapi sheee; hata kunimis call au ulifichwa.
karibu sana karibu shahawa na kashata

wa3alaikum alsalam Kichwa Ngumu... Nipo mkubwa na hangaika na maisha.. btw ,.. hapo kwenye RED was that suppose to be joke..?! Ntake radhi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…