Keren_Happuch
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 1,874
- 935
karib sana keren happuch.
Karibu sana bibie tukupe kiti ukalie
Asprini akikuona mjukuu akutanie
Karibuuuu..Keren,Ingia tu na viatu ucjali dear.Hapa kuna juice na chakula bado kipo jikoni.Jiskie upo nyumbani Keren.
yaani nimejilaumu sana kwanini sikuwa wa kwanza kukukaribisha! hivi ushakuwa mwenyeji au niendelee kukukaribisha tu?Hahahahaha...yaani Kloro umeenda kuitafuta hii thread ili unikaribishe leo???!!! Siku nimejiunga....yaani ni AD tu ndo alinikaribisha!...I think umesoma mahali fulani.......ndo maana ukakuja huku!!! Otherwize, senksi vere machi....!
yaani nimejilaumu sana kwanini sikuwa wa kwanza kukukaribisha! hivi ushakuwa mwenyeji au niendelee kukukaribisha tu?
maeneo ya PM umeshatembea au bado? sheria yake ni moja tu uweko over 18Nitafurahi kama utanizungusha kidogo kwenye hii nyumba kubwa.....maana nielewe mazingira vizuri!!! Inawezekana kuna sehemu sizijui.....
maeneo ya PM umeshatembea au bado? sheria yake ni moja tu uweko over 18
huko unaleft click jina langu halaf unakwenda kwenye private message halaf unatoa dukuduku lako lote la rohoni halaf namimi natoa langu. tunalala bila stressHicho kigezo ninafit...haya niambie huko ndo wapi?? kusini, kaskasini, mashariki au magharibi....nakusikiliza mwenyeji wangu....
huko unaleft click jina langu halaf unakwenda kwenye private message halaf unatoa dukuduku lako lote la rohoni halaf namimi natoa langu. tunalala bila stress
akianza mwalim anaitwa fataki lakini akianza mwanafunzi inakuwa inasibitisha ni kiasi gani somo limeeleweka. Husninyo mwenzio tayari amekuwa mwanafunzi mtiifu. am vere proud of her.Sasa mwl..nilifikiri unafundisha kwa vitendo......!!!! Nilifikiri nikirudi nitakuja moja tayari....!!!
akianza mwalim anaitwa fataki lakini akianza mwanafunzi inakuwa inasibitisha ni kiasi gani somo limeeleweka. Husninyo mwenzio tayari amekuwa mwanafunzi mtiifu. am vere proud of her.
Karibu ulikuwa haujakaribia vizuri uje kimya kimya lolAsante sana dear Afrodenz.
Nimekaribia...looking forward to have fun..:smile-big:!
Thanks.
Karibu ulikuwa haujakaribia vizuri uje kimya kimya lol