mi mgeni hapa..
Karibu sana mwallu, baada ya ukaribisho, hebu nambie jinsia yako, kabla 'sijakufoward' kwa mkuu wa ukaguzi babu Asprin akukague. Kuna jukwaa linaitwa chit chat karibu sana kule utawakuta kina Judgement watu8 amu Madame B Mentor Mokoyo DEMBA Heaven on earth Lady doctor Cantalisia Husninyo B'REAL Mtambuzi na wengineo
Mengine nitakueleza nikishatambua jinsi yako..karibu sana
kaizer...unapenda kutambua jinsia mkuu....mwambia mgeni karibu
asante Kaizer..jinsia yangu ni -ke
Good......mi ni -me, karibu kwen familia yetu
Hodi Waungwana! Nafurahi kuungana nanyi katika jukwaa hili.