Hodi wenyeji!!

Hodi wenyeji!!

Flucytosine

Member
Joined
Feb 19, 2012
Posts
16
Reaction score
4
Habari wana JF,nimekuwa nikipita kama mgeni mara kwa mara lakini nimeamua kuingia rasmi kama member ili tuweze kujadili mambo yanayoligusa taifa letu kwa ujumla wake pamoja,naombeni ukaribisho wenu wanabodi,nawasilisha!
 
Karibu! Ila pitia sheria za humu ndani angalau uelewe utaratibu.
 
Habari wana JF,nimekuwa nikipita kama mgeni mara kwa mara lakini nimeamua kuingia rasmi kama member ili tuweze kujadili mambo yanayoligusa taifa letu kwa ujumla wake pamoja,naombeni ukaribisho wenu wanabodi,nawasilisha!

Asprin, Klorokwini na Fellow Tablets ni nduguzo?
 
Back
Top Bottom