Hodi wanaJF

kaburungu

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
3,951
Reaction score
7,524
Nawasalimu ndugu zangu popote pale mlipo ndani na nje ya nchi. Nimekuwa mfuatiliaji wa yale yanayojiri ndani ya JF nimeona nami nijiunge nanyi ili kwa pamoja tujadili mambo mbalimbali juu ya mustakabali wa nchi yetu na dunia kwa ujumla. Naomba kuwasilisha.
 
Karibu sana Kaburungu jamvini...
 
Asante sana.. shida ni hiyo lugha uliyonindikia hapo, sijakupata vizuri
 
Nashukuru sana kwa ujumbe, "Wawezaje kumpenda Mungu usiemuona na kumchukia jirani yako umuonae"
 
"Whoever claims to love God yet hates a brother or sister is liar"
 
Nashukuru Dena Damasi, na wote wanao nikaribisha
 
Mkuu kuna mwana JF ameniandikia "thank you for this useful post" swali langu ni dogo je anamaanisha nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…