paul milya
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 285
- 93
ukaribie hata mke utapata hapa hapa
refusha haya maneno;
Hp
Ktk.
Maana mimi sijakuelewa
Afadhali umemtonya kabisa ajiandae tehe tehe,
Mmmmhh!
Humu kuna shughuli kweli!
Hp=Hapa
Ktk=katika
Kuna lingine stevoh??
Karibu sana! Lakini kumbuka mke wa mtu sumu yasije yakakuta ya ndug sharobaro!
Utakaguliwa na mabinti warembo jiandae ukiwa tayari kwa ukaguzi utaniambia ili ni kupe list ya mambinti watakao kukagua!
Karibu sana! Lakini kumbuka mke wa mtu sumu yasije yakakuta ya ndug sharobaro!
Utakaguliwa na mabinti warembo jiandae ukiwa tayari kwa ukaguzi utaniambia ili ni kupe list ya mambinti watakao kukagua!
Hubby wangu.
Unaniruhusu mgeni huyu tumkague sie Mabinti wa CC,nami nikiwepo.
Mkuu! Nipo makini kupindukia kabisa!
Natamani lakini kuwaona warembo wa jukwaa lengwa!
Hapo kwenye red Mkuu!
Mmmhh! Bila shaka ataruhusu!
Warembo tumejaa tele.
Ila humu kila mtu ana wake.
Iwapo utahitaji mke,nitakufanyia udalali kichwa 1 $500,000.
Ukiwa tayari nambie paul milya
Warembo tumejaa tele.
Ila humu kila mtu ana wake.
Iwapo utahitaji mke,nitakufanyia udalali kichwa 1 $500,000.
Ukiwa tayari nambie paul milya
Duuh unauza watuuu au hiyo hela yooote ya nini??
Jamani! Acha basi kunitishia kwa $ money hizi tunakuwaga nazo tu!
Ila ntafikiria kwanza maana unaweza telekeza familia hivi hivi,Kisa jukwaa lengwa la Chit-Chat!
Hubby wangu.
Unaniruhusu mgeni huyu tumkague sie Mabinti wa CC,nami nikiwepo.