Huna faida humu ndani.Salam
Kwa mara ya kwanza namejiunga JF rasmi, heshima kwenu wadau
Kwa niaba ya wengi naomba niwataje wakuu kadhaa walio nivutia zaidi kuingia humu.
1. Robert H. Mtibeli
2.Mshana jr
3.Tate mkuu
4.Chai ya rangi
5.Pascal mayala na wengine wengi.
Kongole kwenu wana JF wote. Salam kwa familia.
Mhahahah!! sio mbaya, ndivo ulivyoamua kuwaza.Huna faida humu ndani.
Nikajua umejiunga kwa ajili ya jamii forum, kumbe kwa ajili ya hao kwenye list!
Sasa siungebaki out uendelee kuwasoma.
Kwan mpaka ujoin?