Hodi wana JF

Truly

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2011
Posts
228
Reaction score
32
Nabisha hodi kwa wenyeji wangu wa JF. Naombeni baraka zenu ndio nimejiunga kwenye jukwaa hili leo. Sijawa na uzoefu wowote hapa hata avatar bado sijaweka. Lakini ninaamini soon i will catch up kwa bidii zangu na msaada wenu pia.
 
Asante sana. Umekuwa wa kwanza kunikaribisha nami nimefurahi kwa mwana JF
 
Karibu sana jamvini Truly, usisahau kupitia kanuni na sheria za JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…