Hodi wana jamii

Nyampedawa

Member
Joined
Feb 15, 2011
Posts
98
Reaction score
13
Hamjambo wana jamii

Baada ya kusoma mada mbalimbali zinazojadiliwa katika jamiiforums kwa muda mrefu nami nimeona nijiunge ili niweze kuchangia mijadala moto moto inayoibuliwa na kujadiliwa katika jukwa hili. Nina imani mtanipokea.

Tupo pamoja katika kuijenga nchi.

Nyampedawa = mpe dawa hata kama ni chungu ili apone.
 

Karibu Nyampedawa, pita mpaka ndani
 
Karibu sana Nyampedawa, nimelipenda jina lako!
 
Tushakupokea nyampedawa, tunasubiri uingie ndani tukupe dawa!!!:coffee:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…