last fatma
Member
- Sep 6, 2016
- 5
- 7
Nawapenda wote jamani nipokeeni kwa furaha kwa kuanza na neno "NAKUPENDA PIA"
asante Ila acha uchoyo banaaaaa sio lazima.
ila karibu
wakharibishwa yahee!Nawapenda wote jamani nipokeeni kwa furaha kwa kuanza na neno "NAKUPENDA PIA"
Karibu jf
asante sanaKaribu jf
Sasa tutampokeaje mtu ambae hatujamwona!!!picha tafadhali ili upokelewe!!Nawapenda wote jamani nipokeeni kwa furaha kwa kuanza na neno "NAKUPENDA PIA"
Wewe huweki yako?Sasa tutampokeaje mtu ambae hatujamwona!!!picha tafadhali ili upokelewe!!
Don't be over confidentlast seen
gender yako female
hapo nitajibu NAKUPENDA PIA!
karibu ulimwengu wa jf he he he

najuaDon't be over confident![]()
Fanya yale manungulinunguli alafu unipe majibu ni he or sheDon't be over confident![]()
Mi kipindi kile nilipojiunga nilipost na picha yangu kwa utambulisho zaidi!!Wewe huweki yako?
hahaaaa athantelast seen
gender yako female
hapo nitajibu NAKUPENDA PIA!
karibu ulimwengu wa jf he he he
Ni bingwa wa kukaribishaKaribu sana jamvini
Nani huyoNi bingwa wa kukaribisha
WeweNani huyo