Maseto JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 1,087 Reaction score 792 Apr 4, 2012 #1 "....Sababu tunayo,nia tunayo na uwezo tunao wa kuiondoa ccm madarakani.Tunataka dunia ituelewe kwamba tuna kazi moja tu,ya kuiondoa..." KWA MKWARA HUU,NINA HAKIKA MMENIKARIBISHA,HAKUNA NAMNA.
"....Sababu tunayo,nia tunayo na uwezo tunao wa kuiondoa ccm madarakani.Tunataka dunia ituelewe kwamba tuna kazi moja tu,ya kuiondoa..." KWA MKWARA HUU,NINA HAKIKA MMENIKARIBISHA,HAKUNA NAMNA.
C Chinga boy JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 412 Reaction score 103 Apr 4, 2012 #2 Karibu sana mpinanaji mm,ww na wengio ndo tutaleta mabadiliko ktk nchi hii.ALUTA CONTINUE CDM
T TEMILUGODA JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 1,389 Reaction score 285 Apr 4, 2012 #3 chinga boy said: karibu sana mpinanaji mm,ww na wengio ndo tutaleta mabadiliko ktk nchi hii.aluta continue cdm Click to expand... karibu mkuu,sababu tunayo,nia tunayo na uwezo tunao wa kuipiga ccm 2015 na kuikomboa nchi hii kwenda kwenye uhuru wa kweli.
chinga boy said: karibu sana mpinanaji mm,ww na wengio ndo tutaleta mabadiliko ktk nchi hii.aluta continue cdm Click to expand... karibu mkuu,sababu tunayo,nia tunayo na uwezo tunao wa kuipiga ccm 2015 na kuikomboa nchi hii kwenda kwenye uhuru wa kweli.
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 Apr 4, 2012 #4 Karibu sana jukwaani
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,872 Reaction score 13,858 Apr 5, 2012 #5 Karibu sana JF.