Fred Katulanda
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 394
- 627
Hili ni moja kati ya Mapozi ya kawaida, ajabu nimelipenda na lako hapo katika Avatarkaribu sana, lakini hilo pozi mmmmh!
Ninajitambulisha kwenu wadau;
Kama jina linavyojieleza, nimeamua kujiunga na JF hivyo naomba ushirikiano wenu. Asanteni.