Hodi ndugu zangu

Ndetirima

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
1,008
Reaction score
790
Jamani nimeingia toka jana bila hodi. Naomba kukaribishwa rasmi. Samahani kwa kuingia na kula bila kukaribishwa wala kunawa.
 
Ndetirima katibu saana... na hio ulikula ni kionjo tu
hivo karibu chakula chenyewe....

Enjoy...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…