Mcharuko karibu mamito, jisikie huru, uko nyumbani. Karibu vitumbua na juice ya ukwaju. Nakukaribisha pia Jamii Empowerment Saccos. Kuna kikao MEXICO PUB, Kinondoni (opp. Mwanamboka Petrol station) kuanzia saa 9 alasiri. Tembela jukwaa la Business Economic Forum upate yanayojiri kwenye fani ya biashara.