wap zamani
Senior Member
- May 21, 2017
- 141
- 86
Ok safari njema ila utafika umechoka sana maana ulishazoea mweweKwa mara ya kwanza Mwenye enzi Mungu akipenda nitawasili Mwanza siku ya kesho.
Gari wakati wa kwenda nitapanda basi la lampuni ya Kisbo halafu nitarudi na basi la kampuni ya happy nation.
Kwa nini kisbo? Kwa sababu sitapenda nilale njiani.
Wale wa ooh kapande mwewe (ndege) hapa sio mahali penu.... wengine passport tulishazichafua sana huko duniani so ndege sio issue sana! me kwa sasa ni basi mwanzo mwisho.
Ushauri mlionishauri kipindi kile kwenye uzi wangu wa wapi nikapumzike nimeuzingatia sana.
Baada ya mapumziko nitarudi na dagaa na samaki so msisite kunipatia oda zenu (Si mnajua tena yatima hadeki)
Haya mniombee safari njema.
Zamani sio kwa sasa, ila nikutakie safari njema ufike salama.Jaman si kuna uzi huku wanadai kisbo ndo zinafika haraka?? Eti japo bodi mbaya ila mashine nzuri??
Basi usijali nikirudi ally's itahusika. Ila hata hapa inaenda mwendo matata. Tunakaribia moro
Safari njema nakadogo12.05 chombo kinaiacha mbezii
Basi mimi safari ya kukata ticket nilikiwa nawaza kisbo tuuZamani sio kwa sasa, ila nikutakie safari njema ufike salama.
Safari njema Naka...Asante kakubwa
Ukifika dodoma nijulishe mkuu nikupe zawadi ya zabibu😊Basi mimi safari ya kukata ticket nilikiwa nawaza kisbo tuu
Hata ningekutana na kampuni zingine nisingewaelewa.
Nitapanda allys nikirudi maana hata hizi seat hapa ndani sio comfy kabisa..
Ngoja nijisogeze hapo msamvu nikusalimieJaman si kuna uzi huku wanadai kisbo ndo zinafika haraka?? Eti japo bodi mbaya ila mashine nzuri??
Basi usijali nikirudi ally's itahusika. Ila hata hapa inaenda mwendo matata. Tunakaribia moro