WanaJF naomba mnipokee jamvini nimerudi nikitoka kifungoni nikiwa mpya na mawazo ya kujenga nchi yetu tu. Wale wote niliyowakosea/kuwakwaza kutokana na michango yangu kipindi cha nyuma, naomba mnisamehe. Pamoja tutajenga Tz yetu.
M/Mungu ibariki Tanzania