MimiT JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 599 Reaction score 388 Feb 11, 2012 #1 habari za kwenu? mimi mgeni naomba kukaribishwa tafadhali.
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,232 Feb 11, 2012 #2 karibu, lakini mbona macho juu juu ivo. Hebu kaa vizuri nikague TBS na lebo. Afu ntakubandua lebo mwenyewe wee ni ke au me?
karibu, lakini mbona macho juu juu ivo. Hebu kaa vizuri nikague TBS na lebo. Afu ntakubandua lebo mwenyewe wee ni ke au me?
MimiT JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 599 Reaction score 388 Feb 11, 2012 Thread starter #3 haijalishi kama ni ke au me, nadhani jinsia zote zinakubalika, au sio? thanx anyway
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 Feb 11, 2012 #4 Karibu sana.
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,232 Feb 11, 2012 #5 karibu, shapenda hiyo sauti yako ya 3 ke akiongea anajulikana tu jc-- said: haijalishi kama ni ke au me, nadhani jinsia zote zinakubalika, au sio? thanx anyway Click to expand...
karibu, shapenda hiyo sauti yako ya 3 ke akiongea anajulikana tu jc-- said: haijalishi kama ni ke au me, nadhani jinsia zote zinakubalika, au sio? thanx anyway Click to expand...
Mshume Kiyate JF-Expert Member Joined Feb 27, 2011 Posts 6,764 Reaction score 908 Feb 12, 2012 #6 karibu JF
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 Feb 12, 2012 #7 Welcome to JF
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,869 Reaction score 13,849 Feb 13, 2012 #8 Karibu sana JF.