KOKUTONA JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 8,651 Reaction score 6,110 May 3, 2013 #21 Baba V said: Si nilikwambia u deposit money kwenye Ezy pesa ili tufanye upembuzi yakinifu wa mchakato wa kurasmisha washikadau katika chit chat...!!? wewe ndo unachelewesha Click to expand... Ndo vigezo na masharti kuzaingatiwa alosema Bishanga? Afu nakudai yunifomu yangu Baba V Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Baba V said: Si nilikwambia u deposit money kwenye Ezy pesa ili tufanye upembuzi yakinifu wa mchakato wa kurasmisha washikadau katika chit chat...!!? wewe ndo unachelewesha Click to expand... Ndo vigezo na masharti kuzaingatiwa alosema Bishanga? Afu nakudai yunifomu yangu Baba V
king kan JF-Expert Member Joined May 6, 2011 Posts 1,644 Reaction score 2,091 May 3, 2013 #22 kamtu33 said: Asante sana Queen Kan nimekaribia Click to expand... kàa mbali na muke ya mutu laasivyo kucha na meno vitahusika. Tahadhari kabla ya àjali. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kamtu33 said: Asante sana Queen Kan nimekaribia Click to expand... kàa mbali na muke ya mutu laasivyo kucha na meno vitahusika. Tahadhari kabla ya àjali.
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 May 3, 2013 #23 Karibu
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,551 May 4, 2013 #24 KOKUTONA said: Ndo vigezo na masharti kuzaingatiwa alosema Bishanga? Afu nakudai yunifomu yangu Baba V Click to expand... Ujue nimeshakamilisha gwanda lako, ntakutafuta nikukabidhi...
KOKUTONA said: Ndo vigezo na masharti kuzaingatiwa alosema Bishanga? Afu nakudai yunifomu yangu Baba V Click to expand... Ujue nimeshakamilisha gwanda lako, ntakutafuta nikukabidhi...
KOKUTONA JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 8,651 Reaction score 6,110 May 4, 2013 #25 Baba V said: Ujue nimeshakamilisha gwanda lako, ntakutafuta nikukabidhi... Click to expand... Fasta bosi, unajua siku nyingi sana.....
Baba V said: Ujue nimeshakamilisha gwanda lako, ntakutafuta nikukabidhi... Click to expand... Fasta bosi, unajua siku nyingi sana.....