Hodi JF Chit-chat

kamtu33

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
998
Reaction score
409
Habari zenu wana Chit-chat wote (wake kwa waume) mi mwana Jf mwenzenu ila nilikuwa kule kwenye jukwaa la siasa muda mrefu. kumenichosha nimeliona hili jukwaa ndo sitahiki kwangu
Kule kumekuwa kama Bunge la Tanzania ( vijembe, majungu, kejeli, matusi nk), naombeni makaribisho mema.
 
Karibu mkuu,vigezo na masharti kuzingatiwa.
Karipoti kwa Baba V ili akupatie yunifom ya kuvaa ukiwa chitchat.
 
Last edited by a moderator:
Karibu mwaya, ila kumbuka ukipata chungu kipya cha zamani usikisahau
 
Tunaka jinsia!
Sourice: Asprin
 
Last edited by a moderator:
Jina lako nalifananisha na kikaragosi fulani kilikuwa kinachapishwa kwenye gazeti moja hivi, kama sio Alasiri basi ni DarLeo
 
Bishanga asante sana nimelipoti kwa Baba V tayali ila sijapata unifom bado

Si nilikwambia u deposit money kwenye Ezy pesa ili tufanye upembuzi yakinifu wa mchakato wa kurasmisha washikadau katika chit chat...!!? wewe ndo unachelewesha
 
Last edited by a moderator:
Single..?
Unmarried..?
Married..?
Dirvocee..?
Dumped..?
Deserted..?
 
Mbona maswali mengine una "ignore?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…