Hodi jamvini naomba ushirikiano wenu

David Mgeni

Senior Member
Aug 4, 2020
103
137
Hatimaye rasmi leo nakuwa member wa jamiiforum naomba ushirikiano mwema toka kwenu wadau
 
Karibu. Ila humu ndni Kama kweli ni Mgeni Kuna mawili. Either kuharibikiwa akili mapema Sana au kupanuka akili mapema Sana. Nakuambia hivi kwa sababu tuna lundo la wageni wenyeji humu ambao wakiharibikiwa akili Sasa wanajifanya wageni ili waanze upya.
Mfano wewe yaani umejiunga Jana na Jana hiyo hiyo ukajua Kuna kuanzisha Uzi (jokes). Binafsi ilinichukua mwezi mzima kusoma mazingira B4 sijaanzisha Uzi.
 
Niliijua jamiiforum mapema ila nilikuwa msomaji tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom