jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,269
- 43,066
Winners pub,Rufiji pub, Eagle bar ,kivulini bar.Ikwiriri Pana vibe sana
Ikwiriri na Kibiti Pana vibe la kipekee siwezi kuelezea. Dah. Acha tuWinners pub,Rufiji pub, Eagle bar ,kivulini bar.
Zamani Serengeti bar na Manangwa.
All in all ikwiriri pazuri
Kwani mkuu Lindi na Mtwara umehama😁.?Ikwiriri na Kibiti Pana vibe la kipekee siwezi kuelezea. Dah. Acha tu
Ile trip ya Lindi/Mtwara nikaspend usikute mmoja Rufiji, Ikwiriri. Aisee. Kamji kadogo ila shikamoo.Kwani mkuu Lindi na Mtwara umehama😁.?
Kwanini asubiri El ninoMkuu, ukiwa pale Temeka au Rangi3 panda bus za Kilwa au Vyuma vyote vikali vinavyoenda mikoa ya Kusini then shuka pale Ikwiriri usipande zile Costa za Rangi3 to Ikwiriri zitakuchelewesha na zina vurugu pia. Ila kuwa Makini na El Nino hii inayokuja
Karibu ikwiriri kwa Mkwe,ujisikie upo home,ujiandae kulima chumvi pia,😁NAtaka kuhamisha makazi na harakati zangu za maisha kiuchumi na kijamii naombeni muongozo.
Katika hali ya maisha,upatikanaji wa chakula,makazi,fursa za kiuchumi.
Kwasasa nipo Singida ila nataka nisogee ukanda wa pwani nikajitafute Wilaya ya Rufiji hususani ikwiriri imenivutia zaidi.
Pia naulia na mabasi ya kufika huko nikipata muongozo nitashukuru zaidi.