hodi humu ndani

Treasure

New Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
1
Reaction score
0
Jamani wana Jf me nilijiunga zamani lakini bila kujitambulisha leo nimeona ni vuzuri nijitambulishe ili tuwe pamoja jamani inchi yetu inaenda wapi?
 
Karibu sana, kwanza tulia usiwe na hasira. :welcome::welcome:
 
Habari za hii nchi ni kuba; Hili ndilo tunalojadili hapa jamvini na mjadala ni mkubwa kwa sababu hatusomi kabisa ramani mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…