Duzente Siqwente JF-Expert Member Joined Aug 6, 2012 Posts 265 Reaction score 60 Jul 17, 2013 #1 Habari zenu banduguuuuuu wakubwa shikamooni wazee wenzangu mambo vp wadada woteeee nawapendaaaaaa
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Jul 17, 2013 #2 Duzente Siqwente said: Habari zenu banduguuuuuu wakubwa shikamooni wazee wenzangu mambo vp wadada woteeee nawapendaaaaaa Click to expand... Baba V mwanachama mpya huyo mpe fomu ya uanachama wa chit chat. Kijana/mzee kuwa makini na wadada wa humu ndani utang'olewa meno bila ganzi. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Duzente Siqwente said: Habari zenu banduguuuuuu wakubwa shikamooni wazee wenzangu mambo vp wadada woteeee nawapendaaaaaa Click to expand... Baba V mwanachama mpya huyo mpe fomu ya uanachama wa chit chat. Kijana/mzee kuwa makini na wadada wa humu ndani utang'olewa meno bila ganzi.
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 Jul 17, 2013 #3 kwa niaba ya wadada tunakupenda pia
Arabela JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 3,127 Reaction score 2,227 Jul 17, 2013 #4 Nakupenda pia
dismynder1 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 328 Reaction score 168 Jul 17, 2013 #5 hahahaaaaa!!i love u too mgeni, jina lako gumu kutamka!!
Hance Mbuya Member Joined Apr 11, 2012 Posts 45 Reaction score 12 Jul 17, 2013 #6 Haya karibu ila hapa stori tuu Kula kila m2 kwake
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,311 Reaction score 108,356 Jul 17, 2013 #7 Karibu tusogoe...
amu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2012 Posts 16,143 Reaction score 31,275 Jul 17, 2013 #8 kama una mahela meeengiiii naomba niwe mke wako