Hodi hodi

Hodi hodi

Nyakwaratony

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
573
Reaction score
140
Hodi hodi wanajamvi.... naomba mnipokee kwa mikono na miguu tafadhali!!!! :A S 465:
 
Karibu sana mkuu!!!
Jisikie upo nyumbani.
 
Karibu sana! Jinsia yako tafadhari. Kuna uwanda maalum wa utambulisho.
 
Karibu sana. Naona umeingia kwa makeke na vishindo. Hapa sio jukwaa lake.
 
Mbona waingia na nguo ? Wamesahau kukwambia nini ?
 
Karibu sana! Jinsia yako tafadhari. Kuna uwanda maalum wa utambulisho.

Am she......Hee kumbe nimepotea njia.... so sorry mkuu.... Lakini kupotea njia ndo kujua njia!!!!!! lol.......:lol:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom